Naitwa Gillsant Mlaseko, CEO wa Swahili Digital, kampuni inayojihusisha na Masoko ya Kidijitali na AI. Nimekuwa kwenye gemu hii kwa miaka 23 sasa tangu mwaka 2001, nikiwa mmoja wa watumiaji wa kwanza wa majukwaa kama MySpace, Dar Chart, Hi5 (2004), Facebook (2007), Twitter (2009), na Instagram (2013). Ni safari ndefu, na katika kipindi hicho nimejifunza mengi kuhusu jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kwa ufanisi.
Kwa miaka mingi, nimepata tuzo na vyeti kutoka kwa majukwaa makubwa kama META, Google, LinkedIn, Hubspot, na hata Harvard. Kutoka kushinda Tuzo mbali mbali Consumer’s Choice Awards hadi kuwa kwenye orodha ya Watendaji Bora 100, kazi yangu imekubalika kila kona.
Kupitia mitandao ya kijamii, nimepata nafasi ya kufanya kazi na kampuni kama Tigo Tanzania, Vodacom Tanzania, NBC Bank, KCB Bank, Nyama Choma Fest, SportPesa, Betway Tanzania, Nelwas Gelato, CMSA, TFRA, Uongozi Institute, na makampuni mengine mengi. Hapa kuna baadhi ya ushuhuda na ankara za wateja wangu ambazo zinaonyesha mafanikio ya kazi yangu.
Haikuwa rahisi kufika hapa. Ilinichukua miaka kuanza kuona mafanikio. Njiani, nilidanganywa, nilisoma kozi zisizo sahihi, na nilipoteza muda mwingi na pesa nyingi. Nimepitia changamoto nyingi ambazo nisingependa wewe upitie.
Lakini hatimaye niligundua kuwa suluhisho ni kuwa na ujuzi sahihi. Bila ujuzi na mbinu stahiki, kila kitu kinaweza kuvurugika. Leo hii, mitandao ya kijamii imebadilika na inaendeshwa na algorithms, hivyo unahitaji maarifa ya kisasa ili kuweza kusimama imara.
Kwa miaka mingi, nimepata tuzo na vyeti kutoka kwa majukwaa makubwa kama META, Google, LinkedIn, Hubspot, na hata Harvard. Kutoka kushinda Consumer’s Choice Awards hadi kuwa kwenye orodha ya Watendaji Bora 100, kazi yangu imekubalika kila kona.
Siku hizi, kozi nyingi na taarifa zinazopatikana mtandaoni hazijakamilika au zimeandaliwa kwa ajili ya nchi zilizoendelea, hivyo si rahisi kupata mwongozo mzuri hasa kwa wajasiriamali wa Afrika. Nimeona “maguru” wengi wakitoa taarifa zisizo sahihi, wakidanganya wafuasi wao juu ya mbinu za mafanikio kwenye mitandao ya kijamii. Ili kuepuka makosa haya na kuhakikisha unapata elimu sahihi, nimeunda Pilau Formula 2.0—kozi kamili ya Social Media Marketing iliyotengenezwa kwa ajili ya wanaoanza na hata wale wenye uzoefu.
Huhitaji kuwa na ujuzi wowote wa awali, kwani kozi hii itakufundisha kila kitu unachohitaji kujua ili kujenga uwepo wa nguvu kwenye mitandao ya kijamii na kufanikisha biashara yako.
Kuna njia nyingi za kutengeneza pesa kupitia ujuzi wa Social Media. Unaweza kuongeza mauzo kwenye biashara yako kwa kutumia mitandao ya kijamii kwa usahihi. Unaweza kutumia ujuzi huu kuanzisha au kuendeleza biashara zako mtandaoni, hata kama unataka kuingia kwenye freelancing au consultancy. Kama mtaalam, unaweza kujenga uwepo wako mtandaoni kwa kutumia mikakati sahihi.
Ujuzi huu unaweza kutumika pia kusimamia biashara za watu wengine mtandaoni kama Social Media Manager, kutatua changamoto za wateja katika mitandao, au kuuza ujuzi wako kimataifa. Kwa wale wanaotafuta side hustles, mitandao ya kijamii ni jukwaa bora la kufanya dropshipping, affiliate marketing, CPA, YouTube, Blogging, na njia nyingine za kupata kipato.
Mitandao ya kijamii inaweza pia kukusaidia kupata ajira kama mtaalam wa mitandao, au hata kuanzisha kampuni yako ya Social Media Marketing Agency. Pia unaweza kuwa Influencer na kujenga jina lako kwa kutumia ujuzi huu.
Kama mzazi, unaweza kumpa mwanao fursa ya kujifunza ujuzi huu wa kidijitali, au unaweza kufundisha watu wengine ujuzi huo. Ujuzi huu pia utakupa fursa ya kufanya kazi kwa mbali (remote work), ukiwa ajiriwa na makampuni ya nje au kufanya masoko ya mtandaoni kwa wateja wako binafsi.
Uwezo wa kuanzisha na kuendesha darasa la mafunzo mtandaoni (online courses) ni mojawapo ya fursa zilizopo. Pia, unaweza kutumia mitandao ya kijamii kama zana ya kutangaza huduma zako kitaalamu kama daktari, mshauri, au mtaalamu wa sheria. Zaidi ya hayo, unaweza kushirikiana na makampuni kama Brand Ambassador au Content Creator. Fursa ni nyingi sana, lakini unahitaji ujuzi sahihi ili kuzifikia.
Kupitia Pilau Formula 2.0, nitakufundisha njia sahihi za kutumia mitandao ya kijamii kwa faida. Kozi hii ina moduli 16 na zaidi ya mada 50, utajifunza kila kitu kuanzia misingi ya mitandao ya kijamii, jinsi algorithms zinavyofanya kazi, mikakati ya kuongeza engagement, uundaji wa maudhui, saikolojia ya wateja, hadi mauzo na matangazo ya mtandaoni, pamoja na zana za Artificial Intelligence.
Zaidi ya hayo, kuna BONUS kibao mfano: Utapata ChatGPT prompts 300+, kozi inakua yako milele mara tu ukishalipia, na utapata nafasi ya kushiriki vipindi vya maswali na majibu na mimi kila wiki. Pia, utaunganishwa kwenye VIP WhatsApp Group kwa ajili ya ushauri wa kina. Na kubwa zaidi, ukishajifunza na ukifanyia kazi bila kuona matokeo, utarudishiwa pesa zako zote.
Kozi hii ina kila kitu unachohitaji ili kufanikiwa! Nataka nikusaidie kugeuza mitandao ya kijamii kuwa zana yenye faida kwako. Uzuri wa ujuzi huu ni kwamba hauna mipaka ya eneo, muda, au mtaji – unaweza kuendesha biashara yako popote pale duniani. Uko tayari kujiunga nami? Tuna offer ya siku 3 pekee, ambapo utalipia Tsh 100,000 tu badala ya 550,000. Usikose nafasi hii ya kubadilisha maisha yako na kutengeneza pesa kupitia mitandao ya kijamii.